Uingereza Kaskazini-Mashariki

Uingereza Kaskazini-Mashariki (Kiing.: North East England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,515,442. Mji wake mkuu ni Newcastle upon Tyne.

North East England
Mahali pa Uingereza Kaskazini-Mashariki katika Uingereza
Mahali pa Uingereza Kaskazini-Mashariki katika Uingereza
Nchi Bendera ya Ufalme wa Muungano Ufalme wa Muungano
Sehemu Bendera ya Uingereza Uingereza
Mji mkuu Newcastle upon Tyne
Eneo
 - Mkoa 8,592 km²
Idadi ya wakazi (2006)
 - 2,515,442
Tovuti: http://www.go-ne.gov.uk/

Tazama piaEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uingereza Kaskazini-Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
 
Mikoa ya Uingereza
London Mkuu | Kaskazini-Magharibi | Kaskazini-Mashariki | Kusini-Magharibi | Kusini-Mashariki | Mashariki | Midlands Magharibi | Midlands Mashariki | Yorkshire na Humber