Nezha Alaoui

Nezha Alaoui ni mjasiriamali aliyezaliwa Moroko na mwanzilishi wa chapa ya Mayshad. Pia ni mwanzilishi wa shirika lisilo la faida la Mayshad linalo jiusisha na maendeleo ya vijana na wanawake.

Nezha Alaoui
Nezha Alaoui

Maisha ya awali na elimu.Edit

Alaoui alizaliwa Rabati mwaka 1982. Alipata elimu yake katika shule ya kifaransa huko Rabati aliendelea na masomo huko Tingier iliyopo Marekani[1]Baadaye alisomea elimu ya usimamizi wa ukarimu nchini Uhispania ambapo alifanya mafunzo ya ndani ya miezi sita ambayo yalimpeleka Roma, Milan na London.Alipata degree ya biashara huko London na baadae akasomea upigaji picha huko mjini New york Marekani[2]

MarejeoEdit

  1. LE MATIN. La magie du désert marocain en images (fr). Le Matin. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  2. Nezha Alaoui, la créatrice aux mille talents (fr-FR). femmesdumaroc. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nezha Alaoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.