Ngwane V wa Uswazi

Ngwane V (1876 - 10 Desemba 1899) alikuwa mfalme wa Uswazi kuanzia mwezi wa Februari 1895 hadi kifo chake. Mara aliitwa Mfalme Bhunu pia.

Baada ya kifo chake cha ghafla alifuatwa na mwana wake Sobhuza II baada ya utawala wa Malkia Labotsibeni Gwamile Mdluli.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngwane V wa Uswazi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.