Nicolaas Louw

Mshairi wa Afrika Kusini
(Elekezwa kutoka Nicholaas Louw)

Nicolaas Petrus van Wijk Louw (11 Juni, 1906 - 18 Juni, 1970) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Aliandika na kufundisha chuoni hasa kwa Kiafrikaans. Mwaka wa 1945 alianzisha jarida Standpunte. Aliandika maandishi mengi tofauti kama mashairi, tamthiliya, insha na mengineyo.

Maandishi yake hariri

  • Lojale Verset (insha, 1939)
  • Raka (mashairi, 1941; tafsiriwa kwa Kiingereza 1968)
  • Germanicus (tamthiliya, 1956)
  • Liberale Nasionalisme (insha, 1958)
  • Vernuwing in die Prosa (tahakiki, 1961)
  • Tristia (mashairi, 1962)
  • Die Pluimsaad Waai Ver (tamthiliya, 1972)
  • Opstelle or Ons Over Digters (tahakiki, 1972)
  • Oh Wide and Sad Land (1975, tafsiri za mashairi yake kwa Kiingereza)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicolaas Louw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.