Nikola Kovačević (mwanasheria)

Nikola Kovačević (alizaliwa mwaka 1989) ni mwanasheria anayejihusisha na masuala ya haki za binadamu nchini Serbia[1]. Katika mwaka 2021 alifanikiwa kutunukiwa tuzo ya UNHCR Nansen Refugee Award, Ulaya. Nikola Kovačević ni anashughulika na masuala ya kutetea haki za binadamu za wakimbizi huko Serbia [2]. vilevile hushughulika na kuwasaidia wakimbizi kupata makazi mazuri, ajira, elimu bora pamoja na huduma nzuri za kiafya ili waweze uanzisha maisha mapya huko Serbia.

Nikola Kovačević pia ni mwanachama wa shirika lisilo la kiserikali liitwalo A11 Initiative for Human Rights lipatikanalo Belgrade.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikola Kovačević (mwanasheria) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.