Nkaiti ni kata ya Wilaya ya Babati Vijijini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27203[1] . Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14,150 waishio humo.[2]

MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Babati Vijijini - Mkoa wa Manyara - Tanzania  

Arri | Ayasanda | Baoy | Bashnet | Dabil | Dareda | Duru | Endakiso | Gallapo | Gidas | Kiru | Madunga | Magara | Magugu | Mamire | Mwada | Nar | Nkaiti | Qash | Riroda | Ufana


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nkaiti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

SEKONDARI. Shule ya sekondari Nkaiti ilianza mnamo mwaka 2007 chini mkuu wa shule wa kwanza Mwl.BALTAZARY ANNEY na Makamu wake MWL.LAURENCE B.PARESO.Ikiwa na walimu wachache sana kwa upande wa walimu wa sayansi kulikuwa na mwalimu mmoja tu mwl.Pareso ambaye ndiye second master kwa kipindi cha miaka takriban sita kabla ya kupewa uhamisho kwenda magugu sekondari.

 Shule ilipata mkuu wake mpya baada ya mkuu wa kwanza kushushwa cheo akaletwa Mwl.RAMADHANI ANGOVI kabla ya yeye naye kupewa uhamisho mwaka 2014 na akaletwa Mkuu mwingine Mwl.Tango.