Nomino za wingi
Mifano |
---|
|
Nomino za wingi ni aina ya nomino zinazotaja vitu visivyohesabika na hudokeza dhana ya wingi ilhali hazina umoja wala wingi.
Nomino za wingi aghalabu huwa zinaanza na silabi "ma" na kiambishi chake cha upatanisho wa kisarufi huwa ni "ya-". Ikumbukwe katika lugha ya Kiswahili viambishi "ma-" na "ya-" hudokeza dhana ya wingi. Na ndiyo maana hizi nomino huitwa za wingi.
- Mifano
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nomino za wingi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |