Viwakilishi
Mifano |
---|
|
Kiwakilishi (pia: viwakilishi) ni neno/maneno yanayosimama badala ya nomino. Maneno hayo (viwakilishi) hutumika pale tu ambapo nomino haipo au haikutajwa huenda kwa kuwa imekwisha-tajwa hapo awali au inafahamika katika mazingira husika. Mfano:
- Hizi zimeiva
- Chake' kimeliwa
- Mimi ni mwalimu
- Wote wamepotea
- Aliyegongwa amepona
Wakati mwingine watu hawataji waziwazi majina ya watu wazo, hali au vitu fulani ambavyo wamekwisha-vizungumza/vitaja hapo awali au vinafahamika katika mazingira husika badala yake hutumika maneno mengine kuwakilisha - kusimama badala ya (majina hayo ambayo hawakuyataja) - maneno hayo ndiyo huitwa viwakilishi.
Orodha ya viwakilishi
haririTazama pia
haririMakala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |