Non possumus
Non possumus ni kauli ya Kilatini yenye maana ya "Hatuwezi".
Ilitumika hasa kukataa mambo yaliyo kinyume cha imani ya dini, kama walivyofanya Mitume wa Yesu walipojibu waliotaka kuwatakaza wasimhubiri Kristo mfufuka (Mdo 4:20).
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Non possumus kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |