Northwest Territories
Northwest Territories (pia:Territoires du Nord-Ouest) ni eneo kubwa la Kanada upande wa kaskazini ya nchi. Imepakana na Nunavut, Alberta, Saskatchewan, British Kolumbia na Yukon.
Northwest Territories lina wakazi wapatao 42,940 (2009) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,346,106.
Yellowknife ni mji mkuu na mji mkubwa.
Kuna lugha rasmi 11:
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Northwest Territories kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |