Yukon ni eneo kubwa la Kanada upande wa magharibi ya nchi. Imepakana na Marekani (Alaska) upande wa kaskazini-magharibi, Northwest Territories upande wa mashariki na British Kolumbia upande wa kusini. Ina pwani fupi na Bahari ya Aktika. Sehemu kubwa ya eneo lake ni misitu tu.

Yukon
bendera
Yukon

Bendera
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu Whitehorse
Eneo
 - Mkoa 482,443 km²
Tovuti: http://www.gov.yk.ca/

Yukon lina wakazi wapatao 33,442 (2009) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 482,443.

Whitehorse ni mji mkuu na mji mkubwa. Gavana wa Yukon ni Dennis Fentie. Kuna lugha rasmi 2: Kiingereza na Kifaransa

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yukon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.