Nusuduara

Nusuduara ni nusu moja ya duara kamili. Mzingo wake una pembe ya nyuzi 180.

Kipenyo hugawa duara kuwa nusuduara mbili.
E-to-the-i-pi.svg Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nusuduara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.