Mzingo (jiometria)

(Elekezwa kutoka Mzingo)

Mzingo ni mstari wa nje wa umbo la kijiometria kama vile duara, pembetatu au mstatili.

Mzingo wa duara

Katika fani ya astronomia mzingo au njia mzingo inataja pia obiti yaani njia ya gimba la angani kama sayari ya kuzunguka jua au mwezi kuzunguka sayari yake kwa sababu njia hii inafanana na mzinga wa duaradufu.

Tazama pia

hariri

Viungo vya Nje

hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mzingo (jiometria) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.