Wilaya ya Nzega Mjini
(Elekezwa kutoka Nzega mjini)
Nzega ni mji katika Mkoa wa Tabora uliopata halmashauri yake katika mwaka 2014[1].
Misimbo ya posta huanza kwa 454.
Mwaka 2016 mji ulikadiriwa kuwa na wakazi 72,355 walioishi humo[2]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 115,193 [3].
Wenyeji wa Nzega ni hasa Wasukuma, Wanyamwezi, Waha na Wanyiramba.
Nzega iko kwenye njiapanda ya barabara T8 (zamani B6 Tabora - Shinyanga) na T3 (zamani B3 Singida - Kahama)
Marejeo
hariri- ↑ Origin, tovuti ya Halmashauri ya Nzega mjini
- ↑ Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dar es Salaam
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Viungo vya nje
hariri- Nzega District Profile kwa Redet Ilihifadhiwa 27 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
Kata za Mji wa Nzega - Mkoa wa Tabora - Tanzania | ||
---|---|---|
Ijanija | Itilo | Kitangili | Mbogwe | Miguwa | Mwanzoli | Nzega Mjini Magharibi | Nzega Mjini Mashariki | Nzega Ndogo | Uchama |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nzega Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |