Oak Park, Illinois

Oak Park ni mji wa Marekani katika jimbo la Illinois. Pia ni pambizo la Chicago upande wa magharibi ya mji.

Sehemu ya Mji wa Oak Park, Illinois



Mji la Oak Park
Mji la Oak Park is located in Marekani
Mji la Oak Park
Mji la Oak Park

Mahali pa jiji wa Oak Park katika Marekani

Majiranukta: 41°47′59″N 87°47′59″W / 41.79972°N 87.79972°W / 41.79972; -87.79972
Nchi Marekani
Jimbo Illinois
Wilaya Cook
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 50,824
Tovuti:  Village of Oak Park

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2003, mji una wakazi wapatao 50,824 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 12 km².

Ernest Hemingway alizaliwa katika Oak Park.

Shule ya Upili hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Illinois bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oak Park, Illinois kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.