Illinois ni jimbo la kujitawala la Muungano wa Madola ya Amerika au Marekani. Ilikuwa jimbo la Marekani tangu 1818. Iko katika magharibi ya kati ya nchi ikipakana na majimbo ya Wisconsin, Iowa Missouri, Kentucky na Indiana. Upande wa kaskazini - mashariki imepakana na Ziwa Michigan.

Illinois
Jimbo
Kauli Mbiu
"State Sovereignty, National Union"(en)
"Uhuru wa jimbo, Umoja wa kitaifa"(sw)
Ramani ya
Ramani ya
Eneo la Jimbo la Illinois nchini Marekani.
Nchi Marekani
Mji Mkuu Chicago
Jiji kubwa Springfield
Ilijiunga 3 Desemba 1818 (ya 21)
Lugha rasmi Kiingereza
Lugha Zinazozungumzwa Kiingereza 80.8%

Kihispania 14.9%

Nyinginezo 5.1%
Utaifa Illinoisian (en)
Serikali
Gavana J. B. Pritzker (D)
Naibu Gavana Juliana Stratton (D)
Eneo
Jumla 149,997 km²
Ardhi 143,969 km²
Idadi ya Watu
Kadirio 12,710,158
Pato la Taifa (2022)
Jumla $1.132 Trilioni (ya 5)
Kwa kila mtu 90,449
HDI (2022) 0.932 (18)
Maendeleo ya Juu Sana
Mapato ya Kati
ya Kaya (2023)
$80,300 (17)
Majira ya saa UTC– 05:00 (EST)
Tovuti
🔗illinois.gov
Sehemu ya Jimbo la Illinois
Ramani ya Illinois

Eneo la jimbo ni 140,998 km² likiwa na wakazi 12,831,970 hivyo kuna msongamano wa watu 86.27/km². Idadi kubwa hukaa katika rundiko la jiji la Chicago penye wakazi milioni 9.

Mji mkuu ni Springfield lakini mji mkubwa ni Chicago. Kwa miji mingine angalia Orodha ya miji ya Illinois.

Watu kutoka Illinois

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

  Makala hii kuhusu maeneo ya Illinois bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Illinois kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.