Oakland, California
Oakland ni mji wa nane kwa ukubwa katika California. Uko mashariki ya rasi ya San Francisco. Mji ulikuwa na wakazi 397,067 mnamo mwaka 2006.
Jiji la Oakland | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | Alameda | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 397,067 | ||
Tovuti: www.oaklandnet.com |
Mji uliundwa mwaka 1852. Jina la kwanza la mji lilikuwa encinal (Kihispania: kituka cha mti wa oak).
Viungo vya Nje
hariri- (Kiingereza) Tovuti ya mji la Oakland Archived 9 Februari 1998 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oakland, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |