Obi
Obi (au Obira) ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Halmahera. Eneo la kisiwa ni 2542 km². Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 29642. Watu wakaao kisiwani kwa Obi huongea Kigalela na Kitobelo.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|