Obinna Ralph Ekezie (amezaliwa Agosti 22, 1975) alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu wa Nigeria katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu.

Amezaliwa katika familia ya askari Waigbo. Jina lake Obinna lina maana ya "Moyo wa baba"[1].

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Obinna Ekezie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.