Oblast huru ya Kiyahudi

Oblast huru ya Kiyahudi (kwa Kirusi: Еврейская автономная область) ni eneo la shirikisho la Russia lililopo mashariki mwa Urusi mpakani kwa China.

Mahali pa Oblast huru ya Kiyahudi Urusi

Linaitwa hivyo kwa sababu lilianzishwa kwa lengo la kuhifadhi Wayahudi wa Urusi na utamaduni wao. Lakini kwa sasa hao ni 0.2% tu kati ya wakazi wote wa eneo hilo.

Mji mkuu wake ni Birobijan.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oblast huru ya Kiyahudi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.