Odkac
Muqmad au odkac ni cha Kisomali kinachojumuisha nyama iliyohifadhiwa. Neno muqmad linatumika katika maeneo ya kaskazini mwa Somalia kama vile Puntland, Djibouti na kote Somaliland; neno odkac ni maarufu zaidi kusini mwa Somalia.
Kwa kawaida huliwa na canjeero, lakini wakati mwingine peke yake. Ingawa ni kawaida zaidi kwa kuliwa kama kifungua kinywa ama chakula cha mchana, pia wakati mwingine huliwa kwa chakula cha jioni.
Muqmad hutengenezwa kwa kuiacha nyama iive na kulowekwa kwenye siagi iliyoyeyuka.
Marejeo
haririMakala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |