Kereng'ende (mdudu)

(Elekezwa kutoka Odonata)
Kereng'ende
Dume la kereng'ende mnene, Crocothemis erythraea
Dume la kereng'ende mnene, Crocothemis erythraea
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Nusufaila: Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Ngeli ya chini: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda: Odonata (Wadudu wenye mabawa makubwa maangavu)
Fabricius, 1793
Ngazi za chini

Nusuoda 2

Kereng'ende ni wadudu wakubwa wa oda Odonata (odontos = -enye meno) wenye mabawa makubwa maangavu. Kwa asili jina hili limetumika kwa spishi nyekundu. Lakini kwa sababu hakuna jina jingine kwa wadudu hawa, inapendekezwa kutumia jina hili kwa spishi zote za Odonata.

Kereng'ende ni wadudu mbuai ambao huwinda wadudu wengine. Kwa sababu ya hiyo macho yao ni makubwa. Wanaweza kuruka nyepesi sana na kuzingazinga, lakini wanaweza kuangama angani pia.

Spishi za Afrika

hariri


Spishi za mabara mengine

hariri
  Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kereng'ende (mdudu) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.