Odoo
Odoo ni programu yenye uwezo wa kufanya mambo mbalimbali kama vile biashara ya mtandao, malipo, akaunti, bohari, hesabu ya biadhaa, tovuti, n.k. Programu hii ina matoleo mawili, Community ambayo ni bure, na Enterprise ambayo inauzwa.
Jamii
haririMwaka 2013, shirika lisilo la kiserikali Odoo Community Association [1] lilianzishwa ili kuimarisha maendeleo na matumizi ya programu hii.
Vitabu
haririVitabu kadhaa vimeandikwa kuhusu Odoo.[2] some covering specific areas such as accounting[3] or development.[4]
Historia
haririMwanzilishi na mkurugenzi wa Odoo ni Fabien Pinckaers ambaye mwaka 2005 alitengeneza programu yake ya kwanza TinyERP. Miaka mitatu baadaye ilibadilishwa jina na kuitwa OpenERP.
Historia ya matoleo
haririToleo la zamani, hakuna msaada wa kampuni bali msaada wa jamii ya watumiaji tu Toleo imara[5] still supported Toleo la sasa Toleo la mbeleni
Program name | Version | Release date | Significant changes | Software license |
---|---|---|---|---|
Tiny ERP | 1.0 | February 2005 | First release | GNU GPL |
2.0 | May 2005 | GNU GPL | ||
3.0 | September 2005 | GNU GPL | ||
4.0 | December 2006 | GNU GPL | ||
OpenERP | 5.0 | April 2009 | GNU GPL | |
6.0 | January 2011 | First web client | GNU AGPL[6] | |
6.1 | February 2012 | First Ajax web client, discontinued GTK client | GNU AGPL | |
7.0 | December 22, 2012 | Improved web client and usability | GNU AGPL | |
Odoo | 8.0 | September 18, 2014 | Revamped Inventory and WMS, Support for CMS: Website builder, e-commerce, point of sale and business intelligence | GNU AGPL |
9.0 | October 1, 2015 | Revamped Accounting features, Odoo Community split from Odoo Enterprise [7] | GNU LGPL v3 | |
10.0 | October 5, 2016 | Revamped Manufacturing features | GNU LGPL v3 | |
11.0 | October 5, 2017 | Studio, Revamped Services Support, Revamped Reporting, moved to Python 3 [8][9][10] | GNU LGPL v3 | |
12.0 | October 3, 2018 | Document Management, IoT-devices, multi-website. [11] | GNU LGPL v3 | |
13.0 | (planned for October, 2019) | GNU LGPL v3 |
Marejeo
hariri- ↑ "Homepage". Odoo Community Association (OCA).
- ↑ Moss, Gregory (2015). Working with Odoo. Packt. ISBN 978-1784394554.
- ↑ Mader, Greg (2015). Financial Accounting with Odoo: Versions 6, 7, and 8. ISBN 1508737568.
- ↑ Reis, Daniel (2015). Odoo Development Essentials. Packt. ISBN 1784392790.
- ↑ "OpenERP Release Policy FAQ". doc.odoo.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2019-04-12.
- ↑ "odoo/odoo". GitHub.
- ↑ "Odoo 9 - More than ever, Odoo has it all". Odoo S.A.
- ↑ "Odoo Online - A New Version Released in March!". Odoo S.A.
- ↑ "Plans for Odoo 11". Odoo S.A.
- ↑ "odoo/odoo". GitHub.
- ↑ "Odoo 12 Release Notes". Odoo S.A.
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi
- Majadiliano kuhusu ubora na upungufu wa programu hii
- Ushauri wa huduma za kuhifadhi programu
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |