Olatokunbo Arinola Somolu (alizaliwa 11 octoba 1950, lagos) ni mhandisi wa muundo wa nchini Nigeria. Alikuwa mwanamke wa kwanza wa Nigeria kupata shahada ya udaktari wa falsafa katika fani ya uhandisi.[1][2]

Olatokunbo Arinola Somolu
Nchi Lagos
Kazi yake Mhandisi
Alitanguliwa na Francis

Maisha na Elimu

hariri

Olatokunbo Somolu alizaliwa katika Jimbo la Lagos mnamo 11 Oktoba 1950. Alisomea elimu ya msingi katika Shule ya Wasichana ya Kiangelikana iitwayo Lagos, na shule ya sekondari katika taasisi ya Queen's, Lagos.[3] Alisoma Uhandisi wa Ujenzi katika Chuo Kikuu cha Lagos, akitunukiwa shahada ya uzamivu mwaka 1973. Mwaka 1978 alipata PhD yake katika uhandisi wa miundo.[4]

Marejeo

hariri
  1. Ijeoma Thomas-Odia, PEFON honours professional ‘first ladies’ at induction Ilihifadhiwa 5 Novemba 2023 kwenye Wayback Machine., The Guardian, 4 March 2017. Accessed 19 May 2020.
  2. Zika Bobby, When PEFON honoured professional ‘first ladies’, The Sun, 8 March 2017.
  3. Folorunsho-Francis, Adebayo (2017-03-01). "Meet Nigeria's 1st Female PhD Holder In Engineering". Citypulse Nigeria (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-21. Iliwekwa mnamo 2020-05-29. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Olatokunbo Arinola Somolu (Engr. Dr.), DAWN Commission, 27 July 2016. Accessed 18 May 2020.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olatokunbo Somolu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.