Olivia Clark
Olivia Clark (alizaliwa 30 Agosti 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Wales ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Bristol City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake na timu ya taifa ya Wales.[2][3][4]
Marejeo
hariri- ↑ https://www.bcfc.co.uk/teams/womens-first-team/13-olivia-clark/
- ↑ https://www.thefa.com/-/media/cfa/lincolnshirefa/files/news/2022/iwd2022/lincolnshire_fa_olivia-clark-case-study.ashx?la=en
- ↑ "TRANSFER – Clark latest player to depart Coventry United Ladies". Coventry Observer (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
- ↑ "Wales' Clark signs Coventry deal", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2024-04-27
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Olivia Clark kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |