Kimarama

(Elekezwa kutoka Olumarama)

Kimarama (au Olumarama) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wamarama, kabila moja la Waluyia. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kimarama imehesabiwa kuwa watu 152,427. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimarama iko katika kundi la E30.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.