Omar Ali Mzee
Omar Ali Mzee (amezaliwa 5 Juni, 1962) ni mbunge wa jimbo la Kiwani katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "Mengi kuhusu Omar Ali Mzee". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |