Omar Shabani Kwaangw'

Omar Shabani Kwaangw' (amezaliwa tar. 2 Julai 1954) ni mbunge wa jimbo la Babati Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Omar Shabani Kwaangw' (17 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje hariri