Once Upon a Time in the West

Once Upon a Time in the West (filamu halisi ilitolewa nchini Italia mnamo mwaka 1968 kwa jina la C'era una volta il West) na ikaja kutolewa tena nchini Marekani mnamo mwezi Mei ya mwaka wa 1969. Ni utunzi wa filamu aina ya spaghetti western iliyoongozwa na Sergio Leone.

Once Upon a Time in the West
Kasha la awali la filamu ya Once Upon a Time in the West.
Kasha la awali la filamu ya Once Upon a Time in the West.
Imeongozwa na Sergio Leone
Imetungwa na Dario Argento
Bernardo Bertolucci
Sergio Leone
Sergio Donati
Imetaarishwa na Bino Cicogna
Nyota Charles Bronson
Claudia Cardinale
Henry Fonda
Jason Robards
Muziki na Ennio Morricone
Imesambazwa na Paramount Pictures
Muda wake Dk. 145
Imetolewa tar. 21 Desemba 1968
Nchi Italia
Lugha Kiingereza

Washiriki Edit

Mwigizaji Jina alilotumia
Henry Fonda Frank
Claudia Cardinale Jill McBain
Jason Robards Cheyenne
Charles Bronson Harmonica
Gabriele Ferzetti Morton (railroad baron)
Paolo Stoppa Sam
Woody Strode Stony
(moja ya mshirika wa Frank)
Jack Elam Snaky
(moja ya mshirika wa Frank)
Keenan Wynn Sheriff (mpigaji mnada)
Frank Wolff Brett McBain
Lionel Stander Barman

Ona pia Edit

Waongozaji na Waigizaji wa Filamu za Western

Marejeo Edit

  1. http://www.dvdtimes.co.uk/content.php?contentid=11651
  2. http://www.ruthlessreviews.com/movies/o/onceuponatimeinthewest.html Archived 13 Mei 2006 at the Wayback Machine.
  3. http://www.fistful-of-leone.com/articles/knox.html

Viungo vya Nje Edit

 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: