One Hundred and One Dalmatians

One Hundred and One Dalmatians (kwa Kiswahili: Mijibwa Mia Moja na Moja) ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1961 kutoka Marekani. Ilitayarishwa na Walt Disney na inatokana na kitabu cha Dodie Smith chenye jina sawa na hili la filamu hii. Hii ni filamu ya kumi na saba kutolewa katika mfululizo wa filamu za Disney almaarufu kama Walt Disney Animated Classics. Filamu ilitolewa kwa mara ya kwanza mnamo tarehe 25 Januari 1961.

One Hundred and One Dalmatians
One Hundred and One Dalmatians movie poster.jpg
Posta ya filamu
Imeongozwa na Clyde Geronimi
Hamilton Luske
Wolfgang Reitherman
Imetayarishwa na Walt Disney
Imetungwa na Dodie Smith (novel "The One Hundred and One Dalmatians"
Bill Peet (hadithi)
Nyota Rod Taylor
Cate Bauer
Betty Lou Gerson
Ben Wright
Lisa Davis
Martha Wentworth
Muziki na George Bruns
Imesambazwa na Buena Vista Pictures
Imetolewa tar. 25 Januari 1961
Ina muda wa dk. Dk. 79
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu $4,000,000 USD (makisio)
Mapato yote ya filamu $215,880,014
Ikafuatiwa na 101 Dalmatians II: Patch's London Adventure (2003)

WashirikiEdit

MarejeoEdit

Viuongo vya njeEdit

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu One Hundred and One Dalmatians kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.