Onejiru
Onejiru (jina lake halisi ni Pielina Wanjiru Schindler[1]) ni mwimbaji wa jazi nchini Ujerumani.
Maisha
haririPielina Wanjiru Schindler alizaliwa nchini Kenya na kuhamia Ujerumani alipokuwa kijana. Alilelewa huko Wanne-Eickel nchini Ujerumani, ambapo uzoefu wake wa kuimba muziki ulianza katika kwaya ya wasichana na kwenye masomo ya ballet. [2]Mwanzoni mwa shughuli zake za Uimbaji akijulikana kama Onejiru, alijiunga na kundi la Helge Schneider band Fighters. Onejiro aliimba kwenye albamu Jan Delay, Sam Ragga Band [[:de:Sam Ragga Band|] (Loktown Hi-Life, 2003)[3] na Matthias Arfmann. [4][5] Albamu ya "Prophets of Profit" ilizinduliwa mwaka 2006.[6][7]Onejiru ni mwanachama Sisters Keepers kikundi cha wanamuziki wa kike, na waliingia katika "maandamano ya kijinsia" na kuimba "pamoja", walipata nafasi ya 14 katika Bundesvision Song Contest 2008, Rhine ya Kaskazini-Westphalia.
Marejeo
hariri- ↑ "Onejiru", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-11-22, iliwekwa mnamo 2022-02-17
- ↑ "The formation of the circle of friends - Friends of Umoja" (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2016-10-20.
- ↑ Sam Ragga Band (2003-01-13). "Loktown Hi-Life". Wea International (Warner). ASIN B004VCN9ZQ. Iliwekwa mnamo 2016-10-21.
- ↑ "Matthias Arfmann Presents Ballet Jeunesse (Limited Edition)". M. Arfmann (Artist and composer), Dforb, Onejiru, Krs One, Kele, André Tschaikowsky (composer), Georges Bizet (composer), Igor Strawinsky (composer), Bernd Ruf (conductor). Universal Music Classics (Universal Music). 2016-09-09. ASIN B01HQWP3LA. Iliwekwa mnamo 2016-10-20.
{{cite web}}
: CS1 maint: others (link) - ↑ "Matthias Arfmann Presents Ballet Jeunesse". Deutsches Filmorchester Babelsberg, Matthias Arfmann, Onejiru Schindler. Berlin: Deutsche Grammophon GmbH. 2016-09-09. ASIN B01H7X9DOG. Iliwekwa mnamo 2016-10-21.
{{cite web}}
: CS1 maint: others (link) - ↑ Vina Yun (2006-04-19). "Onejiru Prophets of Profit: Record Critics to Their Album" (kwa Kijerumani). Cologne, Germany: Intro GmbH & Co. KG. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-13. Iliwekwa mnamo 2016-10-20.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help) - ↑ "Die Tageszeitung - Interdeutschland", Musik-Sammler.de. Retrieved on 2022-02-17. Archived from the original on 2018-08-28.