Orodha ya Marais wa Rwanda
Ukurasa huu unaorodhesha Marais wa Rwanda.
Rwanda |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Muda wa Utawala | Mtawala | Kabila | Chama cha Kisiasa |
---|---|---|---|
Jamhuri ya Rwanda (Sehemu ya (Ruanda-Urundi) | |||
28 Januari 1961 - 26 Oktoba 1961 | Dominique Mbonyumutwa, Rais | Wahutu | Parmehutu |
26 Oktoba 1961 - 1 Julai 1962 | Grégoire Kayibanda, Rais | Wahutu | Parmehutu |
Jamhuri ya Rwanda (Nchi Huru) | |||
1 Julai 1962 - 5 Julai 1973 | Grégoire Kayibanda Rais | Wahutu | Parmehutu |
5 Julai 1973 - 1 Agosti 1973 | Juvénal Habyarimana, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani na Muungano wa Kitaifa | Wahutu | Jeshi |
1 Agosti 1973 - 6 Aprili 1994 | Juvénal Habyarimana, Rais | Jeshi / TNational Republican Movement for Democracy and Development (MRND) | |
8 Aprili 1994 - 19 Julai 1994 | Theodore Sindikubwabo, Rais wa mpito | Wahutu | National Republican Movement for Democracy and Development (MRND) |
19 Julai 1994 - 23 Machi 2000 | Pasteur Bizimungu, Rais | Wahutu | Rwanda Patriotic Front (RPF) |
24 Machi 2000 - Present | Paul Kagame, Rais | Watutsi | Rwanda Patriotic Front (RPF) |