Orodha ya Marais wa Uganda

Hii ni orodha ya Marais wa Uganda:


Uganda

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Uganda



Nchi zingine · Atlasi
Jina Ameingia madarakani Ametoka madarakani Chama cha siasa
Frederick Edward Mutesa II 9 Oktoba 1963 2 Machi 1966 Kabaka Yekka
Milton Obote 15 Aprili 1966 25 Januari 1971 Uganda People's Congress
Idi Amin 25 Januari 1971 13 Aprili 1979 Jeshi
Yusuf Kironde Lule 13 Aprili 1979 20 Juni 1979 Uganda National Liberation Front
Godfrey Lukongwa Binaisa 20 Juni 1979 12 Mei 1980 Uganda National Liberation Front
Paulo Muwanga (Chairman of the Military Commission) 12 Mei 1980 22 Mei 1980 Uganda National Liberation Front
Kamati ya Kirais ya Uganda (22 Mei 1980-15 Desemba 1980)

Viongozi na wajumbe wa Serikali ya Muda ya Kamati ya Kirais ya Uganda

hariri
Nafasi Jina Kuingia madarakani Kutoka madarakani
National Resistance Army
Godfrey Binaisa 5 May 1980 5 May 1980
Mwenyekiti (kwa kupokezana kila mwezi) Paulo Muwanga 5 May 1980 12 May 1980
Yoweri Museveni May 1980 May 1980
David Oyite-Ojok May 1980 May 1980
Tito Okello May 1980 May 1980
Zeddy Maruru May 1980 May 1980
William Omaria May 1980 22 May 1980
Steven Kashaka 22 May 1980 22 May 1980
Joram Mugume 22 May 1980 22 May 1980
Pecos Kuteesa 22 May 1980 22 May 1980
Smith Open Acak 22 May 1980 22 May 1980
Kamati ya Kirais ya Uganda
Saulo Musoke 22 May 1980 15 December 1980
Polycarp Nyamuchoncho 22 May 1980 15 December 1980
Yoweri Hunter Wacha-Olwol 22 May 1980 15 December 1980
Kamati ya Kirais ya Uganda
Milton Obote 15 December 1980 15 December 1980
Milton Obote 17 Desemba 1980 27 Julai 1985 Uganda People's Congress
Bazilio Olara Okello (Mwenyekiti wa Baraza la Kijeshi) 27 Julai 1985 29 Julai 1985 Jeshi
Tito Okello (Mwenyekiti wa Baraza la Kijeshi) 29 Julai 1985 26 Januari 1986 Military
Yoweri Kaguta Museveni 26 Januari 1986 wa sasa Military/National Resistance Movement

Angalia pia

hariri