Orodha ya mitambo ya utafutaji

orodha ya makala za Wikimedia

Hii ni orodha ya makala za Wikipedia kuhusu mitambo ya utafutaji, ikiwemo mitambo ya kutafuta mitandao, mitambo inayotafuta kwa kuchagua, vifaa vya kutafuta ukitumia ujumuishaji wa maneno, vifaa vya kutafuta katika kompyuta yako binafsi na vifaa vya kuonyesha habari kutoka sehemu mbalimbali kwa umoja na tovuti ambazo zina vifaaa vya kutafuta kwenye gala ya habari katika mtandao.

Kulingana na Yaliyomo / Mada hariri

Kwa jumla hariri

Upeo finyu wa kijiografia hariri

Uhasibu hariri

Biashara hariri

Kampuni/ Biashara hariri

Simu ya mkononi hariri

  • Taptu: simu ya mkononi ya taptu/ Kutafuta kijamii

Kazi hariri

Kisheria hariri

Utabibu hariri

Habari hariri

Watu hariri

Mali halisi hariri

Michezo ya video hariri

Kulingana na aina ya Habari hariri

Mitambo ya utafutaji ambayo ni maalumu kwa aina fulani ya habari

Ukumbi hariri

Blogi hariri

Vyombo vya habari vinavyochanganya picha na sauti hariri

Programu Tanzu (kodi chasili) hariri

BitTorrent hariri

Mitambo hii ya utafutaji hufanya kazi katika itifaki ya BitTorrent.

Barua pepe hariri

Rahamani hariri

Bei hariri

Swali na jibu hariri

Majibu ya binadamu hariri

Majibu ya otomatiki hariri

Lugha ya kiasili hariri

Kwa modeli hariri

Mitambo ya utafutaji ambayo leseni ya matumizi yake iko wazi hariri

Mitambo ya Utafutaji wa kimantiki hariri

Mitambo ya utafutaji wa kijamii hariri

Vifaa vya kutafuta ukitumia ujumuishaji wa maneno - Metasearch hariri

Vifaa vya kutafuta kwa kutazama hariri

Nyala za Kutafutia hariri

  • Google: Nyala ya Kutafutia ya google

Vifaa vya kutafuta katika kompyuta yako binafsi hariri

Jina Ukumbi Maoni Leseni
Ask.com Windows -- Freeware
Autonomy Windows Kifaaa cha kutafuta katika kompyuta yako binafsi cha IDOL Enterprise. Proprietary Commercial
Beagle Linux Kifaaa cha kutafuta ambacho leseni yake iko wazi.Hutumika katika kompyuta yako binafsi iliyo na linux na imetengenezwa katika msingi wa Lucene. Mchanganyiko wa Leseni ya X11/MIT na leseni ya Apache
Copernic Desktop Search Windows Ilifikiriwa kuwa kifaa bora cha kutafuta mwaka 2005 katika utafiti wa UW benchmark. [1] Bure kwa matumizi ya nyumbani
Docco (0} cross-platform (Java) Imetokana na kifaa cha Apache cha kuorodgesha na mitambo ta kutafutia ya Lucene, na kinahitaji Mazingira ya Java Runtime. Yaweza tumika na watu wengi [2]BSD
Docfetcher Cross-platform Kifaaa cha kutafuta cha Windows na Linux,kinachotokana na Apache Lucene[[]] [[]] Leseni ya Eclipse Public Proprietary
dtSearch Desktop Windows siku 30 za majaribio)
Easyfind Mac OS Freeware
Gaviri PocketSearch Windows Indexes desktop, vipenyezo na viendesha mtandao. Freeware au kibiashara
Google Desktop Linux, Mac OS, Windows Hujiunganisha na mtambo mkuu wa kifaa cha kutafuta cha Google. 5.9 Nguvu itokayo sasa inasaidia mifumo ya x64. Freeware
GNOME Storage Linux Kifaaa cha kutafuta ambacho leseni yake ni wazi, kinachotumika katika kompyuta ya Unix/Linus. GPL
imgSeek Linux, Mac OS, Windows Kifaaa cha kutafuta katika kompyuta kwa kuzingatia maudhui na picha. GPL v2 [3]
Insight Desktop Tafuta Windows Kifaa cha kutafuta ukitumia ujumuishaji wa data, Metadata Freeware
ISYS Search Software Windows Kifaaa ororo cha kutafuta katika kompyuta yako binafsi cha ISYS. Binafsi(siku 14 ya kujaribu kesi)
Likasoft Archivarius 3000 Windows -- Proprietary (siku 30 a majaribio)
Meta Tracker Linux, Unix Kifaa cha kutafuta katika kompyuta yako binafsi iliyo na Unix/Linux GPL[4]
Recoll Linux, Unix Kifaaa cha kutafuta katika kompyuta yako binafsi iliyo na Unix/Linux GPL[5]
Spotlight Mac OS Hupatikana katika Apple Mac OS X "Tiger" na programu za baadaye za OS X. Proprietary
Strigi Linux, Unix, Solaris, Mac OS X na Windows Cross-platform, mtambo wa kutafuta katika kompyuta yako binafsi. LGPL v2 [6]
Terrier Search Engine Linux, Mac OS, Unix Ni Kifaaa cha kutafuta katika Windows, Mac OS X (Tiger), Unix / Linux. MPL
Tropes Zoom Windows Mtambo wa kutafuta kimantiki Freeware na kibiashara
Windows search windows Sehemu ya Windows Vista na programu za OS baadaye. Hupatikana kama Kifaa cha kutafutia Windows XP na sever 2003 katika kompyuta ya kibinafsi [[]][[]] Hairuhusa kuorodhesha kwa mapito ya UNC katika mifumo wa x64 . Proprietary, Freeware
X1 Professional Client Windows Ilijukalikana kama yahoo desktop Search hapo awali, kisha ikawa X1 Desktop Search, kisha X1 Enterprise Client. Propriety (siku 30 za majaribio)

Usenet hariri

Ukizingatia hariri

Google hariri

Yahoo! hariri

Bing hariri

Ask.com hariri

Vifaa vya kutafuta ambavyo viliuzwa au havifanyi kazi hariri

Marejeo hariri

  1. "Benchmark Study of Desktop Search Tools". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-14. Iliwekwa mnamo 2008-03-10. 
  2. Kulingana na Sourceforge kurasa ya miradi
  3. Kulingana na [http://imgseek.svn.sourceforge.net/viewvc/imgseek/trunk/imgseek-python/COPYING?view=markup kuiga katika shina SVN tarehe Sourceforge.
  4. Kulingana na kuiga Archived 2012-07-14 at Archive.today katika SVN shina.
  5. Kulingana [1]
  6. Kulingana na kuiga katika toleo 0.5.10 tar.bz2 paket.

Viungo vya nje hariri