Orodha ya wafalme wa mwisho barani Afrika
Hii ni orodha ya wafalme wa mwisho wa Afrika.
Nchi / Himaya | Mfalme | Wadhifa | Kuzaliwa | Kutawala kuanzia | Mwisho wa kutawala | Sababu | Kifo | Nembo | |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Burundi | Ntare V | Mfalme Burundi | 2 Desemba 1947 | 8 Julai 1966 | 28 Novemba 1966 | Kuondolewa | 29 Aprili 1972 | ||
Afrika ya kati | Bokassa I | Mfalme wa Afrika ya kati | 22 Februari 1921 | 4 Desemba 1976 | 20 Septemba 1979 | Kuondolewa | 3 Novemba 1996 | ||
Misri | Faili:Fuad II in Capri.JPG | Fuad II | Mfalme wa Misri na Sudan | 16 Januari 1952 | 26 Julai 1952 | 18 Juni 1953 | Kuondolewa | Hai | |
Ethiopia | Haile Selassie I | Mfalme wa Ethiopia | 23 Julai 1892 | 2 Novemba 1930 | 12 Septemba 1974 | Kuondolewa | 27 Agosti 1975 | ||
Gambia | Elizabeth II | Malkia wa Gambia | 21 Aprili 1926 | 18 Februari 1965 | 24 Aprili 1970 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | Hai | ||
Ghana | Malkia wa Ghana | 6 Machi 1957 | 1 Julai 1960 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | |||||
Kenya | Malkia wa Kenya | 12 Desemba 1963 | 12 Desemba 1964 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | |||||
Libya | Idris I | Mfalme wa Libya | 12 Machi 1889 | 24 Desemba 1951 | 1 Septemba 1969 | Kuondolewa | 25 Mei 1983 | ||
Madagascar | Ranavalona III | Malkia wa Madagascar | 22 Novemba 1861 | 30 Julai 1883 | 28 Februari 1897 | Kuondolewa | 23 Mei 1917 | ||
Malawi | Elizabeth II | Malkia wa Malawi | 21 Aprili 1926 | 6 Julai 1964 | 6 Julai 1966 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | Hai | ||
Morisi | Malkia wa Morisi | 12 Machi 1968 | 12 Machi 1992 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | |||||
Nigeria | Malkia wa Nigeria | 1 Januari 1960 | 1 1963 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | |||||
Rhodesia | Malkia wa Rhodesia | 11 Novemba 1965 | 2 Machi 1970 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | |||||
Rwanda | Kigeli V Ndahindurwa | Mwami wa Rwanda | 29 Juni 1936 | 25 Julai 1959 | 28 Januari 1961 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | 16 Oktoba 2016 | ||
Sierra Leone | Elizabeth II | Malkia wa Sierra Leone | 21 Aprili 1926 | 27 Aprili 1961 | 19 Aprili 1971 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | Hai | ||
Afrika Kusini | Malkia wa Afrika Kusini | 6 Februari 1952 | 31 Mei 1961 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | |||||
Tanganyika | Malkia wa Tanganyika | 9 Desemba 1961 | 9 Desemba 1962 | Katiba ya Jamhuri imepitishwa | |||||
Tunisia | Muhammad VIII al-Amin | Mfalme Tunisia | 4 Septemba 1881 | 15 Mei 1943 | 25 Julai 1957 | Kuondolewa | 30 Septemba 1962 | ||
Uganda | Elizabeth II | Malkia wa Uganda | 21 Aprili 1926 | 9 Oktoba 1962Kigezo:Efn | 9 Oktoba 1963 | Marekebisho ya Katiba | Hai | ||
Zanzibar | Jamshid bin Abdullah | Sultan wa Zanzibar | 16 Septemba 1929 | 1 Julai 1963 | 12 Januari 1964 | Kuondolewa | Hai |