Osarenoma Igbinovia

mchezaji wa mpira wa miguu

Oosrenoma Igbinovia (alizaliwa 5 Juni 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria. Alicheza kwenye timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria katika michezo ya Michezo ya Olimpiki. Oosrenoma anacheza katika klabu ya Bayelsa Queens katika Ligi Kuu ya Wanawake nchini Nigeria pamoja na timu ya taifa ya Nigeria.[1]

Oosrenoma Igbinovia
Amezaliwa 5 June 1996
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Osarenoma Igbinovia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.