Oscar Jerome Hijuelos (24 Agosti 195112 Oktoba 2013) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1990, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Mambo Kings Play Songs of Love.

Oscar Hijuelos
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oscar Hijuelos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.