Oskarshamn
Oskarshamn ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 17,143 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1856.
Jiografia
haririEneo lake ni 13.06 km².
-
Stesheni ya treni katika Oskarshamn
-
Visiwa vya Oskarshamn
-
Uwanja wa Oskarshamn
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oskarshamn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |