Padova ni mji wa Italia katika mkoa la Veneto. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 210,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya mji


Padova
Nchi Italia
Mkoa Veneto
Wilaya Padova
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 212,858
Tovuti:  www.padovanet.it/

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Padova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: