Pagieli
Pagieli alikuwa mwana wa Okran na kiongozi wa kabila la Asheri (Israeli) anayetajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale)[1]. Aliteuliwa kuhesabu kabila lake wakati wa sensa ya Wanaisraeli [2]. Alitoa sadaka ya kabila lake kwenye siku ya 11 wakati wa uzinduzi wa maskani takatifu[3]. Pagieli aliongoza kabila lake wakati wa kuondoka kwenye jangwa la Sinai[4].
Tanbihi
hariri
Marejeo
hariri- Pagiel Ilihifadhiwa 23 Aprili 2021 kwenye Wayback Machine., tovuti ya Biblia.com/factbook
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pagieli kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |