Palmerston North (Kimaori: Te Papaioea) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 81,300 (2010). Iko upande wa kaskazini wa kisiwa. Eneo lake ni 326 km².

Palmerston North / Te Papaioea

Mji wa Palmerston North (New Zealand)
Habari za kimsingi
Mkoa Manawatu-Wanganui
Anwani ya kijiografia Latitudo: 40°21′3″ - Longitudo: 175°36′7″E
Eneo 326 km²
Wakazi 81,300 (mji pekee)
81,600 (pamoja na rundiko)
Msongamano wa watu watu 645.9 (mji pekee) kwa km²
Simu +64 (nchi), 06 (mji)
Mahali

Viungo vya nje hariri



  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.