Pamela Nomvete

Mzaliwa wa Ethiopian msanii wa kike


Pamela Nomvete (alizaliwa nchini Ethiopia, mwaka 1963) ni mwigizaji raia wa Afrika Kusini na Uingereza.

Pamela Nomvete
Amezaliwa 1963
Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Kazi yake Mwigizaji


Maisha hariri

Pamela Nomveta alizaliwa na wazazi kutoka Afrika Kusini. Utoto wake alikulia katika nchi tofauti tofauti na kujiunga katika shule ya bweni ya United Kingdom na baadae kusoma katika chuo cha mziki na uigizaji Royal Welsh. [1] Kwa sehemu nyingine aliishi Manchester,mahali ambapo dada yake alikuwa mwanafunzi.[2] Na baada ya kuanzakufanya kazi kama mwiigiza United Kingdom,Nomveta alihamia Johannesburg,Afrika kusini mwaka 1994,Na baada ya uchaguzi wa rais wa Nelson Mandela na kuanguka kwa ubaguzi wa rangi.

Mnamo mwaka 1990 Nomvete alianza kazi kwenye luninga,kufikia umaarufu wa Afrika kusini wa soap opera kizazi cha muendelezo wa runinga Afrika kusini. Uhusika wake kama Ntsiki Lukhele ulikuwa kahaba mbobezi, mwenye uchu wa kujipatia nguvu, mshashiwishi na hatari sana.[3].Japo kuwa Nomveta peke yake alipambana kwa masononeko baada ya ukafiri na kutalikiwa na mume wake. Na maisha yake kufunuliwa, kwa hatua moja aliishi kwenye gari lake, akiuza nguo kwa ajili ya chakula na sigara.[3]

Kwenye Zulu Love Letter 2004, Nomvete alicheza Thandi,a single mother na mwandishi wa habari alipambana kuwasiliana na binti yake wa miaka kumi na tatu aliyemtenga.Thandi alikua mjamzito wa mtoto wake,alishambuliwa na kupigwa na kikosi cha ubaguzi wa rangi,akamuacha mtoto kiziwi na bubu.Nomvete alishinda katika utendaji wake wa FESPACO na kutunukiwa kama mwigizaji bora mnamo mwaka 2005.[4]

Mwaka 2012 hadi 2013,alionekana kwenye kipindi cha muda mrefu cha soap opera Coronation Street nchini Uingereza ,akicheza kama Mandy Kamara aliyekuwa muigizaji wa zamani Lloyd Mullaney akicheza na Craig Charles.[5]

Mnamo mwaka 2013 alichapisha wasifu wa Dancing to the Beat of the Drum:Katika utafutaji wa nyumba yangu ya kiroho.[6]

Nomvete alifanya mazoezi Nichiren Buddhism.[2]

Muonekano wa filamu hariri

Muonekano wa jukwaa hariri

Marejeo hariri

  1. Pamela Nomvete bares all with Thandolwethu, East Coast Radio, 7 May 2019.
  2. 2.0 2.1 South African actress Pamela Nomvete shares her incredible story, jacaranda fm, September 19, 2018.
  3. 3.0 3.1 Eddie Maluleke Kalili, Generations’ Ntsiki spills the beans, YOU, 25 January 2013.
  4. Martin Botha (2013). South African Cinema 1896–2010. Intellect Books. uk. 185. ISBN 978-1-78320-330-7. 
  5. Amy Duncan, Pamela Nomvete waves goodbye to Coronation Street, Metro, 1 August 2013.
  6. Andile Ndlovu, Ex-Generations star reveals messy personal life, Sowetan Live, 17 January 2013.
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pamela Nomvete kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.