Pango la Son Doong
Son Doong ni pango katika Jimbo la Quang Binh, Vietnam, km 50 kaskazini kwa mji wa Đồng Hới, km 44 kaskazini kwa Uwanja wa Ndege wa Dong Hoi, na km 450 kusini kwa mji mkuu wa Hanoi.
Mnamo Aprili mwaka wa 2009, mpelelezi wa Uingereza amegundua kuwa ni miongoni mwa maeneo yenye mapango makubwa duniani.[1]
Marejeo
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|