Pango (jiolojia)
Pango (kwa Kiingereza: "cave") katika jiolojia ni sehemu kubwa yenye uwazi iliyopo ardhini, kwenye mwamba au pia ndani ya mti mkubwa.

Mapango ya Amboni kwa ndani.
Mara nyingi linakuwa mahali pa kufichama au kufichia vitu.
Pia limedhaniwa na tamaduni mbalimbali kama za Afrika kuwa mahali pa kufichama au kuishi kwa mizimu n.k.
Tazama piaEdit
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |