Papa Alexander V

Alexander V (anajulikana pia kama Petro wa Kandia, 13393 Mei 1410) kwa mtazamo rasmi wa Kanisa Katoliki alikuwa antipapa wakati wa Farakano la Magharibi (13781417), ingawa wanahistoria wengine wanamuona kuwa Papa halisi.

Papa Alexander V

Aliogoza kuanzia 26 Juni 1409 hadi kifo chake mwaka 1410.

Viungo vya njeEdit