Parana (mto)

(Elekezwa kutoka Paraná River)
Tazama pia Paraná, majimbo za Brazil.

Río Paraná (mto Parana) ni mto mrefu wa pili wa Amerika Kusini. Chanzo kipo nchini Brazil kwenye bwawa la Ilha Solteira inapokutana mito ya Paranaíba na Rio Grande.

Mto wa Parana
Río Paraná
Mto Parana mjini Posadas (Argentina)
Chanzo Bwawa la Ilha Solteira (Brazil) inapokutana mito ya Paranaíba na Rio Grande
Mdomo Rio Plata
Nchi Brazil, Argentina, Paraguay
Urefu 4,000 km
Kimo cha chanzo 1,148 m
Tawimito Paranaiba, Rio Grande (Brazil), Iguazo,
Mkondo 16,800 m³/s
Eneo la beseni 2,582,672 km²
Idadi ya watu wanaokalia beseni milioni 59
Miji mikubwa kando lake Ciudad del Este, Foz do Iguaçu (Brazil), Posadas, Santa Fe (Argentina), Parana

Inapotoka katika eneo la Brazil unakuwa mpaka kati ya Brazil na Paraguay, baadaye kati ya Paraguay na Argentina.

Kilomita 500 km za mwisho unapita Argentina na kukutana na Río Uruguay halafu kuingia pamoja naye katika Rio de la Plata.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Parana (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.