Paranga ni jina la kata ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma , Tanzania yenye postikodi namba 41805[1] . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12297 [2] waishio humo.


Baadhi ya vijiji vya kata ya Paranga vyenye shule ya msingi ni Paranga yenyewe, Kelema Balai, Kelema Kuu, Isini, Sori na cheku. Asilimia kubwa ya wakazi wa kata ya Paranga ni Warangi.


MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Chemba - Mkoa wa Dodoma - Tanzania  

Babayu | Chandama | Chemba | Churuku | Dalai | Farkwa | Goima | Gwandi | Jangalo | Kimaha | Kwamtoro | Kidoka | Kinyamsindo | Lahoda | Lalta | Makorongo | Mondo | Mpendo | Mrijo | Msaada | Ovada | Paranga | Sanzawa | Songoro | Soya | Tumbakose