Misheni za Paris
(Elekezwa kutoka Paris Foreign Missions Society)
Misheni za Paris (kwa Kifaransa: Missions Etrangères de Paris kifupi M.E.P., kwa Kilatini: Societas Parisiensis missionum ad exteras gentes) ni jumuiya ya wamisionari Wakatoliki kwa ajili ya misheni katika nchi za Asia .
Katika utaratibu wa sheria za Kanisa la Kilatini ni shirika la maisha ya kitume lenye hadhi ya Kipapa na liko chini ya Idara ya Uinjilishaji wa Mataifa.
Lilianzishwa mwaka 1658 likafanya kazi hasa Asia Mashariki, na hadi sasa ndiko liliko na wamisionari wengi, mbali ya Ufaransa na Madagaska. Duniani kote ni 198, kati yao mapadri 184.
Tanbihi
haririMarejeo
hariri- Mantienne, Frédéric (1999) Monseigneur Pigneau de Béhaine (Eglises d'Asie, Série Histoire, ISSN 1275-6865) , ISBN 2-914402-20-1
- Missions étrangères de Paris. 350 ans au service du Christ 2008 Editeurs Malesherbes Publications, Paris , ISBN 978-2-916828-10-7
- Les Missions Etrangères. Trois siècles et demi d'histoire et d'aventure en Asie Editions Perrin, 2008, ISBN 978-2-262-02571-7
- Adrien Launay (1898) Histoire des missions de l'Inde, 5 vols.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official Website (Kifaransa)
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Misheni za Paris kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |