"Part of the List" ni wimbo wa msanii wa rekodi za muziki wa R&B kutoka nchini Marekani - Ne-Yo. Huu ni wimbo wa nne kutoka katika albamu yake ya Year of the Gentleman. Wimbo ulitayarishwa na Chuck Harmony.

“Part of the List”
“Part of the List” cover
Single ya Ne-Yo
kutoka katika albamu ya Year of the Gentleman
Imetolewa 2009 (2009)
Imerekodiwa 2008
Aina R&B
Urefu 4:10
Studio Def Jam
Mtunzi Chuck Harmon, Shaffer Smith
Mtayarishaji Chuck Harmony
Mwenendo wa single za Ne-Yo
"Knock You Down"
(2009)
"Part of the List"
(2009)

Chati zake

hariri
Chart (2009) Peak
position
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[1] 96

Marejeo

hariri
  1. "Artist Chart History - Ne-Yo - Singles". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-03. Iliwekwa mnamo 2009-04-26.