Year of the Gentleman
Year of the Gentleman ni albamu ya tatu ya mwimbaji na mtunzi wa Kimarekani - Ne-Yo. Albamu ilitoka mnamo tarehe 16 Septemba ya mwaka wa 2008.[1]
Year of the Gentleman | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya Year of the Gentleman
|
|||||
Studio album ya Ne-Yo | |||||
Imetolewa | 11 Septemba 2008 | ||||
Imerekodiwa | 2007–2008 | ||||
Aina | R&B | ||||
Urefu | 48:38 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Def Jam | ||||
Mtayarishaji | Ne-Yo (mkuu.) Stargate, Chuck Harmony, Polow da Don, Kirven Arrington, Shea Taylor, Stereotypes, Shomari "Sho" Wilson, Reggie "Scyience" Perry, J. R. Rotem, Butter Beats |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Ne-Yo | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Year of the Gentleman | |||||
|
Nyimbo hariri
Wimbo wa kwanza ni "Closer", ambayo ilitolewa tarehe 15 Aprili. Ilipoanza kuingia katika chati za UK ilipata kushika nafasi ya 22, na kisha baadaye ikaja kushika nafasi ya kwanza. Katika chati za Billboard Hot 100 bora, wimbo umepata kushika nafasi ya saba, wakati yenyewe imepata kushika nafasi kwanza katika nyimbo 100 bora zipigwazo sana katika maredio.
Wimbo wa pili, "Miss Independent", ulitolewa tarehe 11 Agosti..[2]Toleo rasmi la wimbo huo lilitolewa mnamo 21 Agosti likiwa limeambatana video yake. .[3] Nyimbo hizi zote zilitungwa na kutayarishwa na Stargate.
Wimbo wa tatu, "Mad", ulitangazwa kupitia Urban/Rhythmic tarehe 14 Oktoba 2008.[4] Kwa upande wa video tayari ishafanywa ya wimbo wa "She Got Her Own" na ndiyo utakaokuwa wimbo rasmi kimataifa.
Orodha ya nyimbo hariri
# | Jina la wimbo | Watayarishaji | Muda |
---|---|---|---|
1 | "Closer" | Stargate na Ne-Yo | 3:54 |
2 | "Nobody" | Ne-Yo | 3:07 |
3 | "Single" | Polow da Don | 4:18 |
4 | "Mad" | Stargate na Ne-Yo | 4:15 |
5 | "Miss Independent" | Stargate na Ne-Yo | 3:52 |
6 | "Why Does She Stay" | Stereotypes | 4:33 |
7 | "Fade into the Background" | Shomari "Sho" Wilson | 3:18 |
8 | "So You Can Cry" | Scyience | 4:18 |
9 | "Part of the List" | Chuck Harmony | 4:10 |
10 | "Back to What You Know" | Stargate na Ne-Yo | 4:10 |
11 | "Lie to Me" | Shea Taylor | 4:27 |
12 | "Stop This World" | Chuck Harmony | 4:24 |
Nyimbo za ziada hariri
Jina la wimbo | Watayarishaji | Muda |
---|---|---|
"In the Way" (U.S. iTunes only) | J. R. Rotem | 4:16 |
"What's the Matter" (U.S. iTunes Pre-Order; UK, Australia & Japan bonus track) | Chuck Harmony | 3:46 |
"She Got Her Own" (akishirikiana na Jamie Foxx na Fabolous) (UK iTunes Pre-Order; nyimbo za ziada za Japan) |
Butter Beats | 5:32 |
"So Sick" (nyimbo za ziada za Kibrazili) | Stargate | 3:27 |
"Because of You" (nyimbo za ziada za Kibrazili) | Stargate | 3:46 |
"Sexy Love" (nyimbo za ziada za Kibrazili) | Stargate | 3:40 |
Chati hariri
Chati (2008) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian ARIA Albums Chart[5] | 7 |
Austrian Albums Chart[5] | 41 |
Belgium Albums Chart[5] | 35 |
Canadian Albums Chart[6] | 4 |
Dutch Albums Chart[5] | 26 |
French Albums Chart[5] | 24 |
German Albums Chart[5] | 22 |
Irish Albums Chart[5] | 13 |
Italian Albums Chart[5] | 22 |
Japanese Oricon Album Chart[7] | 2 |
New Zealand Albums Chart[5] | 6 |
Swiss Albums Charts[5] | 9 |
UK Albums Chart[8] | 2 |
U.S. Billboard 200[9] | 2 |
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[9] | 1 |
Historia ya matoleo hariri
Mkoa | Nchi | Tarehe | Studio |
---|---|---|---|
Asia | Japan[10] | 11 Septemba 2008 | Universal International |
Ulaya | Ujerumani[11] | 12 Septemba 2008 | Def Jam |
Italy[12] | |||
Uingereza[13] | 15 Septemba 2008 | Mercury | |
Marekani | United States[14] | 16 Septemba 2008 | Def Jam |
Brazil[15] | 21 Oktoba 2008 | Universal Music |
Marejeo hariri
- ↑ Neyo: Year of the Gentleman. Def Jam. Iliwekwa mnamo 2008-06-30.
- ↑ New Ne-Yo Music - "Miss Independent" Archived 28 Agosti 2008 at the Wayback Machine. The album released 1 Septemba in UK according to Amazon.co.uk and 16 Septemba for the USA!
- ↑ My "Miss Independent" Video Is Gonna Be Hot!. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-01-08. Iliwekwa mnamo 2008-10-15.
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-10. Iliwekwa mnamo 2008-10-15.
- ↑ 5.00 5.01 5.02 5.03 5.04 5.05 5.06 5.07 5.08 5.09 Ne-Yo - Year Of The Gentleman - Music Charts αCharts. Accessed 25 Septemba 2008.
- ↑ Canoe -- Jam! Music SoundScan Charts
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedOricon
- ↑ BBC - Radio 1 - Chart Show - The UK Top 40 Albums
- ↑ 9.0 9.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedbillboard
- ↑ Ne-Yo:Year of the Gentleman (Japanese). universal-music.co.jp. Iliwekwa mnamo 2008-08-13.
- ↑ Ne-Yo - Year of the Gentleman - CD. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-07-28. Iliwekwa mnamo 2008-10-15.
- ↑ Ne-Yo - Year of the Gentleman - disco di Ne-Yo
- ↑ Ne-yo - Year Of The Gentleman
- ↑ Year of the Gentleman: Ne-Yo: Music
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-10-15.